Zephania Life Herbal Clinic (ZLHC)

Karibu kwenye kituo cha afya asilia kinachotoa elimu ya afya, ushauri wa kitaalamu na huduma zinazolenga kuboresha afya yako kwa njia salama na asilia.

Huduma Zetu

✓ Afya ya nguvu za kiume
✓ Afya ya kisukari na mfumo wa mwili
✓ Ushauri wa lishe na mtindo wa maisha
✓ Tiba asilia kulingana na chanzo cha tatizo

Wasiliana Nasi WhatsApp

Busweru, Mwanza - Tanzania (EA)
Simu: +255766431675 | +255656620725