TAFADHALI HAKIKISHA UNAJAZA TAARIFA ZAKO KWA USAHIHI NA UKAMILIFU

Ili tupate uelewa sahihi wa hali yako ya afya ya nguvu za kiume na kukuandalia ushauri bora wa chakula unaolingana na mahitaji yako, tafadhali jaza kila swali kwa uaminifu na hakikisha taarifa zote unazotoa ni sahihi.

TATHMINI YA KITAALAMU YA NGUVU ZA KIUME
NA MPANGO WA LISHE BINAFSI

Dodoso hili linasaidia kuelewa changamoto zako za nguvu za kiume, afya ya mwili na mtindo wa maisha ili kuandaa ushauri unaokufaa.

A. TAARIFA BINAFSI

B. TATIZO KUU LA NGUVU ZA KIUME

C. TATHMINI YA AFYA YA NGUVU ZA KIUME

D. HISTORIA YA KUJICHUA (MASTURBATION)

E. AFYA YA UUME NA KORODANI

F. AFYA YA MWILI KWA UJUMLA

G. DALILI NYINGINE ZA MWILI

H. LISHE NA MTINDO WA MAISHA

I. MAELEZO YA ZIADA YA MGONJWA

Umuhimu wa kuweka taafifa sahihi 

Taarifa zako zitatusaidia kufanya uchambuzi wa hali yako na kukupa ushauri wa lishe unaolenga kuboresha afya ya mwili, kuongeza nguvu, na kusaidia mfumo wa uzazi kwa njia salama na yenye kuzingatia mahitaji yako binafsi.