
Matibabu ya Uhakika kwa Tiba Asilia Zephania Life Herbal Clinic
Karibu ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC, kliniki ya tiba asili iliyopo Dar es Salaam, Tanzania. Tumejikita katika kutoa tiba asili zenye ubora na ufanisi pamoja na huduma za ushauri wa kitaalamu zinazolenga kukusaidia kufikia afya bora na ustawi wa mwili kwa ujumla. Tunatoa suluhisho mbalimbali za tiba asili zilizotengenezwa kwa umakini ili kusaidia kushughulikia changamoto tofauti za kiafya na kuboresha maisha yako kwa njia salama na ya asili.
MATIBABU YA UHAKIKA YA NGUVU ZA KIUME
Leo katika zama hizi za sayansi na teknolojia, tatizo la kupungua nguvu za kiume limekuwa kubwa sana, siyo Tanzania tu, bali duniani kote.
Hapo zamani, tatizo hili lilikuwa la wazee zaidi, lakini jambo la ajabu na la kuhuzunisha sana leo limekuwa ni tatizo la vijana zaidi kuliko hata wazee! Utamkuta mwanaume ni kijana wa miaka 18 au 25 au 30 au 40, lakini jinsi anavyotenda tendo la ndoa ni sawa na mzee wa miaka 90 au 100!!
Atakwambia, “Ninafika kileleni ndani ya dakika mbili,” au “Nikimaliza tendo la ndoa raundi ya kwanza, siwezi kurudia mpaka kesho yake!” Au “Uume wangu unasimama kwa uregevu sana, na nikiingia ukeni tu, unakufa (unaregea)!”
Habari kama hizo ni nyingi kwa namna tofauti tofauti na kwa watu wengi sana. Ni utitiri wa watu, vijana kwa wazee, na vijana ndiyo wakiwa wameshika usukani (wakiongoza).
Kwa bahati nzuri matatizo mengi ya nguvu za kiume yanatibika, lakini iwapo tu kama matibabu sahihi (yanayoanzia kwenye chanzo cha tatizo yatapatikana).
Hata hivyo, kwa bahati mbaya sana waathirika wengi wa nguvu za kiume wamekuwa wakikurupuka tu kubugia dawa, na hii ndiyo sababu wamekuwa hawaponi licha ya kutumia chungu ya dawa, na pia wamekuwa wakipoteza pesa nyingi bure tu kwa matibabu hayo ya kubahatisha.
Pia kutokana na tatizo hili kuwa kubwa, kila kuchapo huibuka watu wanaodai wanaweza kutibu na kumaliza tatizo kabisa. Kwenye magazeti, kwenye mabango mitaani, katika redio n.k, kuna utitiri wa matangazo juu ya tatizo hili. Lakini, kinachokata maini zaidi ni kwamba, wengi wa wataalamu hao hawajui sababu za kupungua nguvu za kiume, wala hawajui utendaji wa mwili wa binadamu. Wengi wanadhani kuishiwa au kupungua nguvu za kiume ndiyo ugonjwa wenyewe.
Kupungua nguvu za kiume siyo ugonjwa, ni dalili ya ugonjwa. Kuna sababu zake ndani ya mwili. Sababu hizo ni nyingi mno, ni zaidi ya 100! Anatakiwa daktari mtaalamu aliyebobea katika uzazi, mifumo ya mkojo, anayelijua vizuri figo ndani na nje, ini na mifumo mingine ya mwili, ikiwa ni pamoja na kemia ya mwili. Na inatakiwa dawa iende kutibu chanzo cha tatizo. Ndicho tunachokifanya sisi. matibabu yetu ni ya uhakika.
Jambo muhimu analopaswa mwanaume yeyote kufahamu ni kwamba, kupungua nguvu za kiume siyo ugonjwa, ni dalili ya ugonjwa. Sentensi hii ina maana gani? Twende pamoja.
Kwa nini upungikiwe nguvu za kiume?
Hakuna jambo baya asilopenda mwanaume yoyote kama kupungua nguvu za kiume. Linaleta simanzi kwa wanandoa na kuharibu saikolojia ya mtu. Mwanaume yeyote anapaswa kujiuliza swali hili: Kwa nini mwanume apungukiwe nguvu za kiume? Ndani ya mwili wa mwanaume kuna viungo zaidi ya 100 vinavyohusika na nguvu za kiume. Kiungo kimojawapo kinaposhindwa kufanya kazi, nguvu za kiume hupungua. Na kuna sababu zaidi ya 200 zinazoweza kusababisha viungo hivyo vishindwe kufanya kazi zake vizuri.
Nguvu za kiume ni nini?
Nguvu za kiume ni jina la jumla lenye vipengele vingi ndani yake ikiwa ni pamoja na hamu ya mapenzi; kusimama kwa uume barabara; kuchelewa kufika kileleni kiasi cha kufurahia tendo la ndoa; uwezo wa kurudia tendo la ndoa kwa wakati muafaka; pumzi, wepesi na uchangamfu wa mwili katika kutenda tendo la lenyewe. Kwa ujumla vipengele vyote hivyo, ndivyo ukamilifu wa nguvu za kiume. Na ndiyo maana ya nguvu za kiume.
Kuna watu huwa hawajitambui kama wana tatizo la kuishiwa nguvu za kiume, na hatimaye tatizo huwa kubwa zaidi. Katika kitabu changu, VYAKULA VINAVYOTIBU NGUVU ZA KIUME, watu walikuwa wakipiga simu wakisema, “Mimi sina tatizo la nguvu za kiume ila tu nawahi kufika kileleni!” Wengine wakisema, “Mimi niko sawasawa tu ila nakosa hamu ya tendo la ndoa,” na kadha wakadhaa. Ukweli wa mambo ni kwamba:
- Kama unakosa hamu ya tendo la ndoa, una tatizo la kuishiwa nguvu za kiume.
- Kama uume hausimami barabara, una upungufu wa nguvu za kime.
- Kama uume unasimama kwa muda mfupi na kulegea, una upungufu wa nguvu za kiume.
- Kama uume wako hulegea muda mfupi tu baada ya kuingia ukeni, una tatizo la kuishiwa nguvu za kiume.
- Kama unafika kileleni muda mfupi tu baada kuingia ukeni, una tatizo la kuishiwa nguvu za kiume.
- Kama unashindwa kufika kileleni una tatizo la kuishiwa nguvu za kiume.
- Kama unasikia maumivu wakati uume unaposimama, una tatizo la kuishiwa nguvu.
- za kiume.
- Kama unashindwa kutoa mbegu (shahawa), una tatizo la kuishiwa nguvu za kiume.
Viungo gani mwilini vinahusika na nguvu za kiume?
Nguvu za kiume ni tukio pana sana lenye kuhusisha viungo na vitu vingi ndani ya mwili. Kuna zaidi ya viungo na vitu mbalimbali zaidi ya 100 ndani ya mwili wa mwanaume vinavyohusika na nguvu za kiume ambapo viungo hivi pia hufanya kazi zingine za mwili. Baadhi ya viungo hivyo ni ubongo, moyo, mishipa ya neva mishipa ya ateri, mirija iliyo ndani ya uume iitwayo corpora cavernosa.
Viungo vingine ni neva maalumu za parasympathetic, tezidume (prostate gland), ini, figo, homoni ya testestorone, kemikali za acetylcholine, serotonin, na dopamine, uti wa mgongo, eneo la chini ya mgongo (kiuno), eneo la nyonga.
Viungo vingine ni misuli maalumu iitwayo pelvic floor, tezi pituitari (pituitary gland), utando maalumu wa uumeni uitwao tunica albuginea, misuli iitwayo pubococcygeus [PC muscles], kemikali ya nitric oxide, kemikali ya prolactin n.k. Orodha ni ndefu sana, ni zaidi ya 100!
Nini maana ya kupungua nguvu za kiume?
Unapopungua nguvu za kiume, kama nilivyosema hapo awali, ina maana ndani ya mwili wako kuna baadhi ya vitu katika vitu nilivyovitaja hapo juu havifanyi kazi vizuri jinsi ipasavyo. Yawezekana ni figo ndilo halifanyi kazi vizuri, au ini, au tezi dume, au neva ya parasympathetic, au moyo una tatizo au mishipa ya ateri, au misuli ya pelvic au homoni fulani iko juu sana au iko chini sana (hormonal imbalance), orodha ni ndefu sana. Kitendo cha baadhi ya viungo hivyo kutofanya kazi vizuri basi hapo hutokea upungufu katika nguvu za kiume. Upungufu huo unaweza kuwa ni:
1. Kukosa hamu ya mapenzi; au
2. Uume kusimama kwa uregevu; au
3. Kuwahi kufika kileleni; au
4. Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa); au
5. Kushindwa kurudia tendo la ndoa; au
6. Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo; au
7. Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji; au
8. Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu;
Ndugu msomaji, ili uelewe vizuri zaidi labda niseme kwamba, nguvu za kiume ni kiwanda; na ni zaidi ya kiwanda. Tukichukulia mfano wa kiwanda, ni kwamba ndani ya kiwanda kuna umeme, maji, madawa, watu (wafanyakazi wa kila taaluma na fani), mashine, mitambo n.k.
Ikitokea kitu kimojawapo kukosekana, mathalani umeme, au wafanyakazi wakagoma, au kukakosekana madawa muhimu au maji na kadhaa wakadha, basi bidhaa inayotarajiwa kupatikana sokoni, kwa hakika haitapatikana.
Vivyo hivyo nguvu za kiume, mathalani, ikitokea tezidume kutofanya kazi vyema, basi hapo mwanaume hatoona nguvu za kiume, zitapungua au zitaisha kabisa!
Kwa hiyo upungufu wa nguvu za kiume ni upungufu au kasoro za kiutendaji wa viungo ndani ya mwili wa mwanaume. Mwanaume yoyote anapaswa kutambua jambo hili, na siyo kukurupuka kubugia dawa tu.
Kwa nini viungo vinavyohusika na nguvu vishindwe kufanya kazi?
Kuna maradhi kadhaa, vyakula tunavyokula, tabia na mtindo wa maisha vinavyoweza kupelekea viungo hivyo kutofanya kazi vizuri. Baaadhi ya maradhi hayo na tabia hizo ni kujichua/punyeto (masturbation); kisukari; presha ya kupanda; presha ya kushuka; uvutaji wa sigara; unywaji wa pombe; madawa ya kuleva; kufanya kazi kupita kiwango na kukosa muda wa kupumuzika; matatizo ya kukosa usingizi na kuchelewa kulala usiku.
Sababu zingine ni saratani ya tezi dume (Prostate cancer), matibabu ya mionzi ya tezidume na upasuaji, ugonjwa unaoathiri vitendo na shughuli za mwili kama vile mwondoko na balansi (multiple sclerosis), ugonjwa ambao hudhuru mawasiliano ya ubongo na miondoko ikiwa ni pamoja na kutembea, kuongea na kuandika (parkinson’s disease), vyakula vya mafuta, vyakula vilivyowekewa homoni bandia za kike n.k.
Sababu zingine ni maumivu ya mgongo/kiuno; baadhi ya side effects za madawa ya kemikali (madawa ya hospitali); kiharusi (stroke); upungufu katika utendaji wa kazi za gonadi (hypogonadism); uzalishaji mwingi wa homoni ya thyroid.
Sababu zingine ni kutozalishwa kwa homoni ya thyroid ya kutosha; ugonjwa unaoathiri uzalishaji wa homoni ya cortisol (cushing’s syndrome); ugonjwa wa kupinda uume (peyronie’s disease); kukakamaa kwa mishipa ya damu (atherosclerosis); orodha ni ndefu sana, ni zaidi ya 200.
Hivyo mwanaume anapopungua nguvu za kiume, ina maana kuna ugonjwa ndani ya mwili wake, au unaweza kuwa huo ugonjwa umeshadhihirika (umeshatokeza) kwa nje, au huo ugonjwa bado uko ndani ya mwili unamla na kummaliza kimyakimya kama yalivyo baadhi ya magonjwa ambapo baadaye hulipuka. Hii ndiyo maana kitaalamu tunasema kupungua nguvu za kiume siyo ugonjwa ni dalili ya ugonjwa. Yani unapopungua nguvu za kiume hiyo ni KENGELE YA TAHADHARI kwamba ndani ya mwili wako kuna kitu au vitu havifanyi kazi vyema. Hivyo, unaambiwa kuchukua haraka TAHADHARI kabla ya HATARI!
KOSA KUBWA WANALOFANYA WANAUME WENGI
Wanaume wengi wanapopungukiwa nguvu za kiume hukimbilia kutafuta dawa za kuongeza nguvu za kiume, na siyo kutibu chanzo cha tatizo. Hili ni KOSA KUBWA sana!
Ni kosa kubwa kukurupuka kubugia dawa za nguvu za kiume bila kujua chanzo cha tatizo na bila kujua hiyo dawa inakwenda kutibu eneo au kitu gani mwilini. Kwa njia hiyo, utamaliza miaka hata zaidi ya 100 na hata miaka elfu moja na hautapona!
Upungufu wa nguvu za kiume lazima utibiwe kuanzia chanzo cha tatizo; kwa maana ya kwamba mzizi wa tatizo sharti ung'olewe kwanza!
Mathalani, kama tatizo ni la homoni ijulikane kwanza; kama ni tatizo la tezi ijulikane kwanza, kisha matibabu sahihi yaelekezwe katika maeneo hayo. Hayo ndiyo matibabu, na si vinginevyo.
Hebu zingatia mfano kichwani mwako kwanza, upungufu wa nguvu za kiume unaweza kutokana na kisukari kwa mwanaume huyu, au shinikizo la damu la kupanda (HIGH BLOOD PRESSURE) kwa mwanaume yule; au shida ya tezidume kwa mwanaume mwingine au shida ya kihomoni (HORMONAL IMBALANCE) kwa wanaume wengine, basi vipi iingie akilini kwamba wote hao watatibiwa kwa dawa aina moja? Watu wengi sana wameelewa kimakosa sana ndiyo maana hata matibabu yamekuwa ni tatizo kubwa sana kwao.
Kosa lingine wanalofanya wanaume wengi ni kukimbilia dawa za kikemikali. Dawa hizi si kwamba hazitibu tu chanzo cha tatizo bali pia zina madhara mengi sana kiafya pia. Nini ambacho hufanya mwilini dawa hizi? Dawa hizi hufanya kazi ya kuulazimisha moyo kusukuma damu kuingia katika uume, kwa kua-activate nitric oxide. Matokeo yake ni kwamba, viungo ambavyo ni vigonjwa vitalazimika kufanya kazi huku vikiwa ni vigonjwa, na hatimaye vitadhoofika kabisa. Kama ambavyo wewe unakuwa mgonjwa unalazimishwa kufanya kazi. Mara ya kwanza unaweza kufanya, lakini mara nyingine unaweza kushindwa kabisa, na hata kuumia zaidi. Hiki ndicho kinachotokea kwa wahanga wengi wa madawa ya kikemikali. Atakwambia, “Nilijaribu kutumia mara kadhaa ikawa inasimama lakini baadaye haikusimama kabisa, hata kama nikitumia siwezi kabisa.”
Nani anaweza kutibu nguvu za kiume?
Kuna watu wengi sana hivi leo wanaodai kutibu nguvu za kiume. Ukweli wa mambo ni kwamba siyo kweli! Ni watu wachache sana wenye uwezo wa kutibu tatizo la kuishiwa nguvu za kiume. Na ni watu wachache sana wenye kuelewa matibabu sahihi.
Utakuta mtu au kampuni inatangaza dawa ya aina moja kuwatibu watu wote wenye matatizo ya nguvu za kiume. Tabia hii pia imejengeka kwa baadhi ya watu, hunipigia simu au kuniandikia baruapepe na kuniuliza moja kwa moja, "Daktari, dawa za nguvu za kiume ni shilingi ngapi?"
Hii ni dalili kwamba watu hawajui maana ya kupungukiwa nguvu za kiume. Na hawajui nguvu za kiume ni nini? Na kwa kutokujua huwafanya waendelee kuteseka. Tatizo la nguvu za kiume, haliwezi kutibiwa kwa njia hiyo hata siku moja.
Ndugu wapendwa, mimi siuzi dawa, nafanya matibabu. Kwa nini? Kila mwanamume ana sababu na chanzo chake cha kupungua nguvu za kiume. Kama wanaume 100 waliopungukiwa nguvu za kiume watajipanga mstari kwa daktari mjuzi na mtaalamu, basi kila mgonjwa atakuwa na sababu yake na chanzo chake cha kupungukiwa nguvu za kiume tofauti kabisa na mwingine. Na hivyo, kila mgonjwa atapewa dawa yake ya kipekee kabisa tofauti na mwingine.
Sasa itashangaza kuona huyu kapungukiwa nguvu za kiume kutokana na mishipa ya ateri kutofanya kazi vizuri, na yule kapungukiwa nguvu za kiume kutokana na kuvimba kwa tezidume, ati wote wapate dawa aina moja! Hiki ndicho kinachofanyika na watu wengi wamepoteza pesa na muda kwa matibabu kama haya yasiyokuwa na maana.
Yahitajika daktari mtaalamu aliyebobea katika mfumo wa uzazi wa mwanaume na mfumo wa mkojo, na anayeujua utendaji wa mwili wa binadamu kwa ujumla. Huyu ndiye anayeweza kutibu tatizo la nguvu za kiume. Yaani, daktari ambaye anajua vizuri ndani na nje utendaji wa figo, ini, moyo n.k; ama awe ni daktari wa tiba asilia au daktari wa tibakemikali (yaani daktari wa hospitali) siyo kila mtu tu au kila daktari. Hata kama utakwenda kwenye hospitali kubwa yoyote duniani unayoijua, na ukagonga hodi katika chumba cha daktari, ukamwambia, "Nina tatizo la upungufu au kuishiwa nguvu za kiume," atakurifaa kwa daktari maalumu aliyebobea katika mfumo wa uzazi wa mwanaume na mfumo wa mkojo. Hata kwa madaktari wa tiba asilia, hali ni hivyo hivyo, lazima ukutane na ambaye amebobea katika mfumo wa uzazi wa mwanaume.
Kwa nini awe maalumu?
Kwa sababu unapotibu nguvu za kiume unakuwa unatibu viungo vya mwili kwa ujumla. Daktari aliye mtaalamu na aliyebobea katika viungo vya uzazi vya mwanaume anakuwa ana uwezo wa kutambua tatizo la kiungo kilichokorofisha mwilini kutokana na kumhoji mgonjwa; na anaweza kwenda mbali zaidi kwa kujiridhisha kwa kumshauri mgonjwa afanye vipimo gani sahihi. Na anaweza kujua ni vyakula gani anavyopaswa mgonjwa kutumia kulingana na tatizo lake. Narudia tena na tena, upunguvu wa Nguvu za kiume lazima utibiwe kwenye chanzo cha tatizo, na si vinginevyo.
Matibabu ya uhakika kutoka Zephania Life Herbal Clinic
Utaratibu wetu ni kwamba hatumtibu mgonjwa mpaka tufanye mahojiano naye kwa kina juu ya historia ya afya yake kwa ujumla. Kama yuko nje ya Mwanza, tutahojiana naye kwa simu, kama yuko Mwanza basi anaweza kuja moja kwa moja kwenye kliniki yetu. Kama yuko nje ya nchi, tutahojiana naye kwa njia ya email/au WhatsApp.
Kupitia mahojiano hayo ndiyo tunaweza kufahamu chanzo cha tatizo lake, na pia tunaweza kumshauri kufanya vipimo kama tutaona kuna umuhimu wa kufanya hivyo. Lengo ni kwamba, tunahitaji kumtibu mgonjwa kuanzia chanzo cha tatizo, ni kwa njia hiyo tu ndipo anaweza kupona kabisa tatizo lake.
Matibabu yetu ya kutibu matatizo ya nguvu za kiume humaanisha kwamba; tunatibu matatizo yote yanayosababisha kupungua nguvu za kiume. Tunatibu shida zote zinazoathiri utendaji wa tezidume, tunatibu matatizo ya homoni mwilini, tunatibu tatizo la kufunga choo (constipation) na madhara yaliyoletwa mwilini, tunatibu kitambi/unene na madhara yake, tunatibu madhara ya kujichua, tunatibu presha ya kupanda na kushuka, tunatibu kabisa kisukari na mtu anapona kabisa (dawa yetu hii ya kisukari pia imepimwa na kuthibitishwa na Mkemia Mkuu wa Serikali); tunatibu saratani ya tezidume kabla haijakomaa sana, tunatibu maumivu ya mgongo/kiuno na vyanzo vyake; tunatibu vidonda vya tumbo na mtu anapona kabisa, tunatibu matatizo yote ya moyo, tunatibu presha ya kupanda; tunatibu matatizo ya figo na ini na magonjwa yote ambayo ni sababu ya kupungua nguvu za kiume.
Hivyo, tunapotibu nguvu za kiume, tunatibu afya yako kwa ujumla, kinyume na watu wanavyofikiri kwamba labda nguvu za kiume ni ule uume tu jambo ambalo si kweli kabisa!! NGUVU ZA KIUME ZIKO NDANI! Na kuna viungo na vipengele mbalimbali zaidi ya 100 vinavyofanya kazi kwa ushirikiano mkubwa ili kukupatia nguvu za kiume.
TUNATUMA DAWA MAHALA POPOTE ULIPO
Tunatuma dawa mahala popote mtu alipo ndani na nje ya nchi. Kwa watu walio ndani ya nchi, mizigo huchukua siku 1-3 hadi kukufikia kutegemea mahala ulipo. Na kwa watu walio nje ya nchi, mizigo huchukua siku 5-7 mara nyingi mizigo ya nje ya nchi tunatuma kwa DHL.
Email: khamisiibra@gmail.com
info@zephanialifeherbalclinic.co.uk
Busweru, Mwanza - Tanzania
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ)
Karibu kwenye sehemu ya maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu nguvu za kiume na matibabu yake. Hapa tumekusanya majibu ya kitaalamu yanayokusaidia kuelewa chanzo cha tatizo, njia za matibabu na huduma zinazotolewa na ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC ili kukuwezesha kufanya maamuzi sahihi kuhusu afya yako.
VIDEO I Dr. Khamisi I. Zephania
Msikilize Dr KHAMISI IBRAHIM ZEPHANIA, daktari bingwa wa Nguvu za kiume, akifafanua kuhusu sababu za kukosa nguvu za kiume na ufumbuzi wake. BOFYA kwenye picha.
Baadhi ya dawa zetu za nguvu za kiume
Tunazo dawa tofauti tofauti za nguvu za kiume zaidi ya 100. Katika kliniki yetu kila mgonjwa hupata dawa zake kulingana na sbabau na chanzo cha tatizo lake. Zifuatazo ni baadhi ya dawa zetu za nguvu za kiume. Unaweza pia kutembelea ukurasa maalumu wa dawa zetu zote za nguvu za kiume ili ufahamu kwa undani zaidi jinsi kila dawa inavyofanya kazi. BOFYA HAPA >>
HJN ni mchanganyiko wa dawa asilia unaosaidia kuimarisha nguvu za kiume, kuongeza stamina, na kurejesha hali ya ujasiri. Hufanya kazi kwa kusaidia mzunguko wa damu, kusawazisha homoni, na kuboresha hisia za mwili kwa wanaume waliopitia changamoto mbalimbali kwa ufanisi wa hali ya juu.
SOMA ZAIDI
NZEGAMBWA ni dawa asilia inayosaidia kuimarisha misuli ya uume, kuongeza hisia za mwili na kuleta uchangamfu wa nguvu za kiume. Hufanya kazi kwa kuboresha mzunguko wa damu, kuongeza oksijeni kwenye seli na kusaidia uimara wa muda mrefu wa utendaji wa mwili sana. Nzuri sana kwa watu wazima na wazee.
SOMA ZAIDI
BALIJAAM ni dawa bora ya asili inayosaidia kuimarisha nguvu za kiume, kuongeza hamasa, na kurejesha uwezo wa mwili baada ya uchovu au kujichua kupita kiasi. Husaidia mzunguko wa damu, huongeza nguvu ya misuli ya uume na kuleta uthabiti wa muda mrefu sana.
SOMA ZAIDI
“Zephania Life Herbal Clinic changed my life. Their personalised approach and effective remedies have significantly improved my health. I highly recommend them!”
— Satisfied Patient, Dar es Salaam
Jitambue kwa nini umepoteza nguvu za kiume
Wewe ni daktari wa kwanza wa afya yako. Jitambue sababu za kupungua kwako kwa nguvu za kiume. Tembelea ukurasa maalumu wa sababu na vyanzo vya upungufu wa nguvu za kiume na program maalumu ya kujikagua mwenyewe kujua shida Iko wapi ndani ya mwili wako iliyopelekea wewe kupungua nguvu za kiume. Katika ukurasa huu utakutana na vyanzo vyote vya upungufu wa nguvu za kiume na tiba sahihi ya kumaliza kabisa changamoto mbalimbali za nguvu za kiume zinazokukabili.
Magonjwa Mengine TUNAYOTIBU
Tunatibu magonjwa yafuatayo kwa tiba bora na yenye matokeo ya uhakika.
1. Kisukari
Tunafanya tathmini ya kina, ushauri wa lishe, mtindo wa maisha na huduma saidizi zinazolenga kuboresha udhibiti wa afya kwa ujumla.
--------
2. Shinikizo la Damu
Tunafanya uchunguzi, ushauri wa lishe na mtindo wa maisha pamoja na huduma saidizi zinazosaidia kuboresha afya ya moyo.
----------
3. Vidonda vya Tumbo
Tunatathmini chanzo cha tatizo na kutoa ushauri wa lishe pamoja na huduma saidizi za kupunguza usumbufu wa mfumo wa mmeng'enyo.
----------
4. Bawasiri
Tunafanya tathmini ya dalili, ushauri wa lishe, maji ya kutosha na mbinu za kupunguza usumbufu kwa wagonjwa.
----------
5. Tezi Dume
Tunatathmini dalili, kutoa ushauri wa kitabibu na huduma saidizi zinazolenga kuboresha afya ya mfumo wa mkojo.
----------
6. Upungufu wa Nguvu za Kiume
Tunafanya tathmini ya sababu zinazochangia tatizo na kuandaa mpango binafsi wa huduma kulingana na mahitaji ya mgonjwa.
----------
7. Kufika Kileleni Mapema
Tunatathmini sababu za tatizo na kutoa ushauri wa kitaalamu pamoja na huduma zinazolenga kuboresha afya ya uzazi.
----------
8. Ugumba kwa Wanaume
Tunafanya uchunguzi wa kina na ushauri wa afya ya uzazi ili kusaidia kuboresha uwezo wa uzazi.
----------
9. Ugumba kwa Wanawake
Tunatoa tathmini ya afya ya uzazi, ushauri wa lishe na huduma saidizi kulingana na hali ya mgonjwa.
----------
10. Maumivu ya Viungo
Tunafanya tathmini ya chanzo, ushauri wa maisha yenye afya na huduma saidizi zinazolenga kupunguza usumbufu.
SOMA ZAIDI
----------
11. Arthritis
Tunatoa tathmini ya kitaalamu pamoja na ushauri wa lishe na mbinu za kusaidia kuboresha utembeaji wa viungo.
SOMA ZAIDI
----------
12. Gauti
Tunashauri mabadiliko ya lishe, mtindo wa maisha na huduma saidizi zinazosaidia kupunguza usumbufu wa viungo.
SOMA ZAIDI
----------
13. Pumu
Tunafanya tathmini ya dalili na kutoa ushauri wa kupunguza vihatarishi pamoja na huduma saidizi za kiafya.
SOMA ZAIDI
----------
14. Mzio
Tunasaidia kutambua vihatarishi vinavyowezekana na kutoa ushauri wa kupunguza athari za mzio.
SOMA ZAIDI
----------
15. Sinusitis
Tunafanya tathmini ya dalili na kutoa ushauri pamoja na huduma saidizi zinazolenga kuboresha hali ya mgonjwa.
SOMA ZAIDI
----------
16. Maambukizi ya Njia ya Mkojo
Tunafanya tathmini ya dalili na kushauri mgonjwa kupata uchunguzi na matibabu sahihi kulingana na chanzo.
SOMA ZAIDI
----------
17. Magonjwa ya Figo
Tunatoa tathmini ya awali, ushauri wa lishe na kumwelekeza mgonjwa kupata ufuatiliaji unaofaa inapohitajika.
SOMA ZAIDI
----------
18. Magonjwa ya Ini
Tunashauri lishe bora, mtindo wa maisha na tathmini ya kitaalamu kulingana na dalili za mgonjwa.
SOMA ZAIDI
----------
19. Tatizo la Unene Kupita Kiasi
Tunatoa mpango wa lishe, mazoezi na ushauri wa kitaalamu unaolenga kuboresha afya ya mwili.
SOMA ZAIDI
----------
20. Kukosa Usingizi
Tunafanya tathmini ya sababu zinazoweza kuchangia na kutoa ushauri wa kuboresha ubora wa usingizi.
SOMA ZAIDI
21. Kipandauso
Tunafanya tathmini ya vihatarishi na kutoa ushauri wa mtindo wa maisha pamoja na huduma saidizi.
SOMA ZAIDI
----------
22. Maumivu ya Mgongo
Tunatathmini chanzo cha maumivu na kutoa ushauri wa mazoezi, mkao sahihi na huduma saidizi.
SOMA ZAIDI
----------
23. Maambukizi ya Fangasi
Tunafanya tathmini ya dalili na kutoa ushauri wa usafi pamoja na hatua stahiki za matibabu.
SOMA ZAIDI
----------
24. Chunusi
Tunashauri utunzaji sahihi wa ngozi, lishe bora na huduma saidizi kulingana na aina ya tatizo.
SOMA ZAIDI
----------
25. Eczema
Tunafanya tathmini ya hali ya ngozi na kutoa ushauri wa kupunguza vichochezi vinavyoongeza dalili.
SOMA ZAIDI
----------
26. Psoriasis
Tunatoa tathmini ya kitaalamu, ushauri wa utunzaji wa ngozi na huduma saidizi zinazofaa kwa mgonjwa. SOMA ZAIDI
----------
27. Kuvimbiwa Sugu
Tunashauri lishe yenye nyuzinyuzi, maji ya kutosha na mabadiliko ya mtindo wa maisha kwa afya ya utumbo. SOMA ZAIDI
----------
28. Tatizo la Kukosa Hamu ya Kula
Tunafanya tathmini ya chanzo cha tatizo na kutoa ushauri wa lishe pamoja na huduma saidizi.
SOMA ZAIDI
----------
29. Uchovu Sugu
Tunachunguza sababu zinazowezekana na kuandaa mpango wa kuboresha afya kwa kuzingatia hali ya mgonjwa.
SOMA ZAIDI
----------
30. Matatizo ya Hedhi
Tunafanya tathmini ya dalili, ushauri wa afya ya uzazi na huduma saidizi kulingana na mahitaji ya mgonjwa. SOMA ZAIDI
Dr. Khamisi Ibrahim Zephania ni daktari bingwa aliyebobea katika kutibu matatizo ya nguvu za kiume. Anatibu kuanzia chanzo cha tatizo hadi tatizo lako liishe kabisa. Ni matibabu ya uhakika wala si ya kubahatisha. Fika katika Kliniki yake Zephania Life Herbal Clinic (ZLHC) iliyoko Jijini Mwanza maeneo ya Busweru. Au wasiliana naye:
SIMU:
EMAIL:
Soma habari zetu za hivi punde
Katika blog ya Zephania Life Herbal Clinic, tunashirikisha elimu, ushauri wa kiafya na simulizi zinazokusaidia kupata manufaa zaidi ya huduma zetu. Hapa utapata vidokezo vya kiafya, maelezo ya kitaalamu, pamoja na mwanga wa ndani kuhusu afya yako. Tunachapisha makala mpya za kisayansi mara kwa mara, hivyo endelea kufuatilia blog yetu kwa taarifa na maarifa mapya ya afya yako.

Usiendelee Kuteseka na Magonjwa Sugu
Tunazo dawa za uhakika zinazotibu, kudhibiti na kuponyesha kabisa kisukari type 2, presha ya kupanda na kushuka, fangasi sugu za ukeni, fangasi za ngozi, matatizo ya nguvu za kiume, vidonda vya tumbo, bawasiri ya ndani na nje, maumivu ya viungo, kiuno na mgongo, kifafa, ngiri aina zote, malaria sugu, UTI sugu, PID, kuvimba kwa tezidume, saratani aina zote ambazo ziko kwenye hatua ya kwanza, shida za figo n.k.
Kwa Ushauri wa Kitaalamu na Matibabu, wasiliana nasi kwa:
📞 Simu/WhatsApp:
📧 Email:
info@zephanialifeherbalclinic.co.uk
📍 Au fika katika kliniki yetu:
ZEPHANIA LIFE HERBAL CLINIC (ZLHC) iliyoko Jijini Mwanza maeneo ya Busweru.
•••••••••
Tunatuma dawa mahala popote ulipo ndani na nje ya nchi.
Soma Makala Zetu Zingine >>
Jifunze zaidi kuhusu afya, tiba asili, nguvu za kiume, uzazi, lishe na magonjwa mbalimbali kupitia makala zetu zilizoandaliwa kwa utafiti na uangalifu.

Onyo Kali na Muhimu Sana
Baadhi ya watu wamekuwa wakitumia jina letu Zephania Life Herbal Clinic, wakijifanya wao ni wahudumu wa Zephania Life Herbal Clinic na kudai kuwa wanaweza kutibu nguvu za kiume. Na wengine wamekuwa wakiiba makala zetu na kuzitumia kwenye blog zao.
Baadhi yao tayari tumeshawachukulia hatua kali za kisheria.
Tunapenda kuwafahamisha umma kuwa tatizo la nguvu za kiume linatibiwa hapa tu: Zephania Life Herbal Clinic.
Tahadhari muhimu:
- Tunazo namba mbili tu rasmi za mawasiliano: +255 766 431 675
+255 656 620 725
Kama unahitaji matibabu ya kibingwa ya nguvu za kiume kutoka Zephania Life Herbal Clinic (ZLHC), usipige simu au kuwasiliana na namba yoyote tofauti na hizo.

Contact Zephania Life Herbal Clinic
Visit us at our clinic in Mwanza, Tanzania. We are eager to assist you on your journey to natural health.
Operating hours
Monday - Friday: 9:00 AM - 5:00 PM
Saturday: 9:00 AM - 1:00 PM
Sunday: Closed